Haya haya karibuni mpate ladha ya Africa...bidada wa kiafrika akiwapa vionjo wageni waliohudhuria usiku wa mwafrica jijini Delft nchini Holland.
 Mataifa mbalimbali kutoka kila kona ya bara la Africa yaliwakilisha nchi zao kwa staili zao,pichani kina dada wakitoa burudani ya asili
 Watu kibaooo na kwa juu unaweza kuona bendera inavyowakilisha
 Hapo chachaaaa.. Wali,maharage,ugali,kisamvu makande,fufuu na madikodiko ya kila aina watu wanajimwayamwaya
 Mwakilishi kutoka Tanzania ambaye ndiye mwandishi wa Maganga One Blog nchini Holland bwana Humphrey Maziba akiwa na mkewe kipenzi katika usiku wa mwaafrica...walipendezaaaa
 Ona kinadada walivyotekezeaa Pendezaaa haooo
Wachaa weeee kila mmoja alipewa fursa ya kucheza ngoma ya kikwao..ilipofika zamu yetu jamani jamani walitukoma maana ilikuwa mayowe sio mchezo
Kila mmoja alipendaza na kila aliyebahatika kuiona bendera ya nchini kwao alifurahia kwa vitendo kama hivyo pichani...Kwa picha zaidi za usiku wa mwafrika ni hapo baadae.