MC Humphrey OneMic Muturi akiwa Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C., kwa ajili ya kuomboleza mauwaji ya Westgate. Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Wakenya kutoka sehemu mbalimbali duniani wameungana na wenzao katika maombi na ishara za matumaini kwa wenzao wa nchini Kenya.
Baadhi ya waKenya kutoka sehemu mbalimbali hapa DMV Siku ya Jumapili Sept 29 walikutana Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C kwa maombolezo ya mauwaji yaliotokea jijini Nairobi siku ya Jumamosi Sept 29 ndani ya Westgate Mall jijini Nairobi Kenya.
Pastor Maurice Kinyanjui akifungua hafla hiyo kwa dua maalumu ya maobolezo ya mauwaji ya Westgate yaliofanyika Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C
Jumuiya ya waKenya na rafiki wa wanajumuia hao walikutana Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C., kwa ajili ya kuwakumbuka, kuwaombea na kuwapa matumaini wenzao walioathirika na tukio hilo.
Walianza kwa ufunguzi kuwaombea dua walioathirika na tukeo hilo lilitokea Siku ya Jumamosi Sept 21, ambapo kundi la Al shabab walivamia na kuteka eneo la sehemu kubwa ya jengo la kibiashara Westgate Mall Jijini Nairobi Kenya.
Siyad Warsame Ali akisoma dua maalumu ya maobolezo ya mauwaji ya Westgate yaliofanyika Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C
Waliendelea kwa kukumbushana mengi yakiwemo kusisitiza kwa upendo wa kua kitu kimoja bila ya kujali tafauti zao na kuvumilia kwa yote yaliotokea kwani Kenya ni nchi ya amani.
Siku nane tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi nchini Kenya, lililoua zaidi ya watu 67 na kujeruhi wasiopungua 175.
Wanajumuiya ya waKenya waliohudhuria katika hafla ya maombolezo ya mauwaji ya Westgate wakiwa na watoto waliobeba bendera za taifa, Siku ya Jumamosi Sept 21, Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C
Wakenya kutoka sehemu mbalimbali duniani wameungana na wenzao katika maombi na ishara za matumaini kwa wenzao wa nchini Kenya.
Jumuiya ya waKenya na rafiki wa wanajumuia hao walikutana Mbele ya mjengo wa Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C., kwa ajili ya kuwakumbuka, kuwaombea na kuwapa matumaini wenzao walioathirika na tukio hilo.
Baadhi ya waKenya wakimakinika kwa huzuni ya maombolezi ya kuwakumbuga ndugu jamaa na marafiki waleopoteza maisha katika shambulio lilofanywa Siku ya Jumamosi 21, na wanamgambo wa Al-Shabab kwenye maduka ya Westgate Mall nchini Kenya.
Walianza kwa ufunguzi kuwaombea dua walioathirika na tukeo hilo lilitokea Siku ya Jumamosi Sept 21, ambapo kundi la Al shabab walivamia na kuteka eneo la sehemu kubwa ya jengo la kibiashara Westgate Mall Jijini Nairobi Kenya.
Waliendelea kwa kukumbushana mengi yakiwemo kusisitiza kwa upendo wa kua kitu kimoja bila ya kujali tafauti zao na kuvumilia kwa yote yaliotokea kwani Kenya ni nchi ya amani.
Wanajumuiya ya waKenya DMV aliposhikilia mishuma kwaajili ya kuomboleza mauwaji ya Westgate
Baada ya hapo waliimba wimbo wa taifa wa Kenya na kuwasha Mishumaa kama ishara ya matumaini na upendo juu ya kuombolza tokeo hilo ambalo lilikua chukizo kwa dunia nzima, na baadhi ya wageni mbali mbali waliotembelea Abraham Lincoln Memorial Jijini Washington, D.C waliwaunga mkono dhidi ya kitembo cha haramu kilichofanywa na kundi la kigaidi la Alshabab.
Baadhi ya wakenya kutoka sehemu mbalimbali DMV wakiwasha mishumaa kwa kuomboleza
Wanajumuiya ya waKenya DMV wakiwa na mishuma ya kuonyesha amani umoja na upendo kwa pamoja bila ya kujali itikadi ya aina yoyote.
Umoja ni guvu na utengano nidhaifu wanajumuiya ya waKenya DMV wafanikisha kwa pamoja kuomboleza mauwaji ya Westgate
Mishuma ya kuonyesha matumaini ya amani umoja na upendo kwa pamoja bila ya kujali itikadi ya aina yoyote.
Wanajumuiya ya waKenya DMV wakiwa na mishuma ya kuonyesha amani umoja na upendo kwa pamoja bila ya kujali itikadi ya aina yoyote.
Wanajumuiya waliohudhuria katika hafla hiyo wakiwa katika majozi ya pamoja na kukumbuka Nyumbani
Sikitiko na majozi kwa ndugu zetu waKwenya ambao baadhi ya yao walikua na ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza maisha katika tokeo hilo haramu lililofanywa na kundi la vijana wa Al shabab Jijini Nairobi
Msanii Anna Mwalagho (wanne mstari wa mbele kutoka kushoto) akiwa na waKenya wenzake wakionyesha ishara, amani, upendo na umoja kwa ndugu jamaa na marafiki, kuomboleza na kuwakumbuka waliopoteza Maisha kwenye shambulio la Westgate mjini Nairobi.
Picha zaidi you have to be our facebook fans Swahilivilla facebook page
0 Comments