Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marekani Nchi aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt, Ofisisni kwake Bungeni Mjini Dodoma Septemba 3, 2013. Balzo huyo alikweda kuaga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Sarafu ya Ubora (coin of Excellency) aliyopewa na Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kushoto), Ofisini kwake mjini Dodoma Septemba 3,2013. Balozi huyo alikweda kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha Sarafu ya Ubora (coin of Excellency) aliyopewa na Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kushoto), Ofisini kwake mjini Dodoma Septemba 3,2013. Balozi huyo alikweda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments