Waungwana na wasomaji wa Blog yenu ya Maganga One picha hii ni ya kutengenezwa kwa kuwa mimi ni mshabiki wa Manchester United nimeipenda,hivyo nawaomba msije mkaitafsiri mjuavyo nyinyi.Mkiitafsiri vibaya MTAPIGWA na mimi nasema Mpigwe tu maana mmezoea kutafsiri mambo vibaya....haaa haaaa haaaa haaaa haaaa haaa utani jamani.