TANGAZO LA TAHADHALI
Wapenzi na wasomaji wa Maganga One Blog.Napenda kuwatangazia kuwa leo majira ya saa kumi na dakika 36 jioni,kuna mtu ambaye anaishi  Villa Carlos Paz, Córdoba Province, Argentina,

alijaribu kufungua mtandao huu bila ruksa ya mamlaka husika..Tahadhali kwamba kila kitu anachojaribu kukifanya kinakuwa under control na akiendelea na utaratibu huu sheria zitachukua mkondo.Natoa Onyo kwa yoyote kwamba sio tabia nzuri kuingilia shughuli za watu.
Maganga One.