Msanii mpya Sonny ama sexy mama akipozi kwenye ufunguzi wa filamu mpya iliyozinduliwa jana jijini Den Haag.
 Mkali Omary Abbas a.k.a. Naweza akitabasamu kwenye ufunguzi wa filamu mpya hapo jana,,huyu ni mshiriki mmoja wao kati ya washiriki wa filamu hiyo.
 Sexy Mama akipata picha na wageni mbalimbali waliokuja ukumbini hapo kwenye shughuli za ufunguzi
 Khatib Must aliyeshiriki katika filamu ya Our Speccial Family nae akipata picha kwenye uzinduzi huo
Huyu ni msanii na ni mke wa Director anakwenda kwa jina la Halima,nae akipata picha ya kumbukumbu katika ufunguzi huo hapo jana

Producer wa filamu hii Jimmy Siwa a.k.a AJ STYLE akipata flash kama kumbukumbu ya uzinduzi hapo jana
 Wadau na watoa sapoti waliohudhuria ufunguzi wa filamu ya Our Special family hapo jana
Nico Gabino mwenye miwani akiwa na waungwana waliokuja kwenye uzinduzi hapo jana 
 Maganga One akiwa na baadhi ya washiriki wa filamu na mashabiki waliokuja ukumbini hapo jana kwenye ufunguzi,shukrani sana watu wetu kwa sapoti yenu.
 Maganga One nikiwa na Rabia Nyembo..dada huyu ndiye alikuwa make up artist wa washiriki wa filamu hiyo ya Our Special Family
 Said Biboze msanii chipukizi akipata picha na madada wawili ambao walikuja ukumbini kutoa sapoti
 Naima ni mmoja wapo wa washiriki waliocheza katika filamu hii mpya ya Our Special Family
 Sakina nae ni mshiriki wa filamu hii akipata kumbukumbu ya picha
 Nico Gabino kushoto akiwa na brother Hasheem
Sexy Mama katikati akiwa na wadau wakubwa waliotoa sapoti ya nguvu katika hii filamu
Hija Salehe ndiye Director na muandishi wa filamu hii,Big Up kiukweli filamu imetulia..
Baadhi ya wadau na wasanii wakipata picha ya kumbukumbu hapo jana