Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza 'Papii' wakiwa na nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
 Nyuso za matumaini.......

 Johnson  Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.

Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.

Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo. 
 NguzaVicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza au Papii wakiwa 
katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa 
kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu 
iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.  

 Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza au Papii wakiwa
katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa
kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu
iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.  

Mahakamani.

 Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson  Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando