Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi
baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya
Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana
kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.
Msanii 20 Percent na ndugu zake wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu baba yake mzazi mzee Kinzasa.


Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha Kimanzichana.