Hakuna shaka yoyote unapolitaja jina la mji wa kihistoria Bagamoyo (Bwagamoyo) aka
B.O ,sifa za mji huo zimejaa wingi wa utajiri usio mfano na moja ya utajiri uliopo Bagamoyo ni mwanamuziki wa Reggae wa kimataifa mtoto wa kitanzania
Jhiko Manyika a.k.a Jhikoman & Afrikabisa band,
Pamoja utajiri na urithi wa kihistoria uliopo mjini Bagamoyo, mwanamuziki Jhikoman
akupa buradani ya wimbo wa "MALKIA" msikilize at http://www.youtube.com/watch?v=9X9BlJQQ-Lw#t=221

usikose kutembelea http://www.jhikoman.com