Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wapili kushoto akiwapamoja na viongozi na wananchi mbalimbali katika Swala ya Eid –El-Hajj ilioswaliwa Kitaifa huko katika kitongoji cha Marumbi Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja.
Wananchi waliohudhuria katika Baraza la Eid-El-Hajji lililofanyika huko Tunguu Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja
 Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika Baraza la Eid -El-Hajj lililofanyika huko Tunguu Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja
 Waumini wanawake katika swala ya Eid
 Kinamama katika baraza la Eid
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitoa hotuba katika baraza la Eid -El-Hajj lililofanyika huko Tunguu Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja
Rais wa Zanzibar Dkt  Mohamed Ali Shein  akiwa pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumalizika kwa Baraza la la Eid -El-Hajj lililofanyika huko Tunguu Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja