Haya Mh:kasema sikukuu ya Eid ni kesho Jumanne na atakayethubutu kusema ni J5 tu .......mmmmmhh!!!! jamani huu ni utani tu mkichukia kweli MTAPIGWA na mimi nasema MPIGWE tu maana nimechoka sasa.