Kesho Jumanne Novemba 13, 2013 Kijiwe cha ughaibuni kitakuwa na akina Benja Mwaipaja na Yasin Randi ambao wamerudi kukata kiu ya mashabiki wao waliokuwa wakiwauliza wapo wapi na wamewaahidi kukutana japo mara moja kwa mwezi ili kwapa burudani mashabiki wao waliokuwa wakiwaulizia muda mrefu