Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
Wahariri na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya
Bara na Visiwani,mkutano huo uligusia masuala ya kiuchumi na kijamii
katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]