Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la
Save The Children Bw. Mubarak Maman,(katikati) alipofika kumuaga Rais
leo baada ya kumaliza muda wake wa kazi.pia na Bibi Mali
Nilsson,(kushoto)ambaye alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini
Zanzibar,kushika nafasi ya kuwa mwakilishi mpya wa Shirika hilo la
Save The Children,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]