Leo timu ngumu na pinzani nchini Uingereza zinaingia dimbani kuumana tena huku kila mmoja akiwa na shahuku ya kuondoka na ushindi,Arsenal timu inayoshikilia usukani wa ligi nchini hapo ikiwa na point 25 huku Manchester United timu kongwe yenye mashabiki wengi duniani inashikilia nafasi ya nane ikiwa na point 17 tu.Mpambano utakuwa mkali kwa kila timu imejipanga vyema,usikose jioni ya leo kujiunga kuangalia mpambano huo.