Hivi karibuni Jamii Production ilipata nafasi ya kuhojiana na mmoja wawanamuziki waliojipatia umaarufu katika ucharazaji gitaa nchini TanzaniaDekula Kahanga aliye maarufu kwa jina la Vumbi.Mahojiano haya
"mepesi" yamegusa mambo mbalimbali kuhusu maisha yake kimuzikiAmehojiana na Jamii Production akiwa Sweden yalipo makazi yake ya sasa
KARIBU UUNGANE NASI
Kwa maoni, ushauri, nk usisite kutuandikia jamiiproduction@gmail.com
0 Comments