Mchezaji wa zamani wa timu ya Arsenal Robin Van Persie akishangilia ushindi wa bao lake kwa timu yake ya Manchester United hapo jana katika uwanja wa Old Trafford.Mpaka mwisho Man U 1-0 Arsenal