Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.
(PICHA NA IKULU)