Kitu cha Pizza kimeshatayarishwa tayari kwa kuliwa jioni ya leo 
Jamani utamu wa hii kitu sina sababu ya kuongeza,maana unakula mpaka unazidisha kipimo chako cha kawaida....Huu ulikuwa msosi wa usiku wa leo,niwatakie jumapili njema waungwana wote