Jumapili ya leo nilionelea nitembelee kidogo kuona maendeleo ya watoto Madrassa
Baadhi ya watoto wetu wa kijijini wakiwa wameshatoka Madrassa wakipata picha ya pamoja