Promota wa mpambano wa masumbwi jijini Dar es Salaam,Kaike Siraju (katikati) akimwinua mkono juu bondia Mohamed Matumla baada ya kumkabidhi pikipiki yake alioibuka nayo kidedea baada ya kumshinda mpinzani wake Nasibu Ramadhani wakati wa mpambano wao uliopigwa siku ya krismas katika Ukumbi wa Friends Corner,Manzese jijini Dar es Salaa.kushoto ni Baba wa bondia huyo Rashidi Matumla na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa Kamouni ya G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki za Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi.