Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao lililofungwa na Samuel Eto'o dhidi ya Liverpool hapo jana.
Chelsea imeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Stamford Bridge!