Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza Uongozi wa Jumuiya ya Milade Nabii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa Mazungumzo na Rais leo asubuhi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Jumuiya ya Milade Nabii,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada ya Mazungumzo na Rais leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua kituo cha Afya Kijiji cha Kajengwa,Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja katika shamra shamra   kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 
 Shein,akipata maelezo kutoka kwa Daktari dhamana Wilaya ya kusini (DMO) Daniel Francis Pius,(katikati) baada ya kukifungua kituo cha Afya Kijiji cha Kajengwa Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kajengwa Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja,jana wakati wa sherehe za

ufunguzi wa Kituo cha Afya,katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar