Katika kuukaribishwa mwaka mpya 2014 siku ya mwisho wa mwaka huu tarehe 31.12.2013 wakazi wa kitongoji kidogo cha Mol nchini Ubelgiji wameandaa sherehe za kufunga mwaka zitakazojumuisha watu mbalimbali kuja kujumuika pamoja katika sherehe hizo.
Sherehe zitaanza usiku wa saa nne kamili{ 22:00hrs} na kwisha saa kumi na mbili asubuhi {6:00am}
Kiingilio ni BUREE
Parking za magari ni BUREE
Vinywaji vitauzwa kwa bei rahisi

Anuani ya ukumbi ni 
Ezaart 151
2400-MOL

Jina la mtaa ni Ezaart
Namba ya Jengo ni 151
Post code ya mji ni 2400
Jina la kitongoji ni MOL

Vaa vizuri upendeze uje kuburudika kwa muziki mchanganyiko,usalama ni wa kutosha,wazazi wanaruhusiwa kuja na watoto wao.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo

                            {+32 } 0 466 164 772 Maganga One

                            {+32} 0 466 157 352 Rasheed Salum

Email- magangaone@gmail.com

Wote mnakaribishwa.