Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Kinyasini, jimbo la Chaani Unguja.
  Mfuasi wa CUF akifurahia hotuba iliyotolewa na mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya Maridhiano kwenye mkutano huo.

 Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano Mansoor Yussuf Himid akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini jimbo la Chaani.
Baadhi ya wafuasi wa CUF na vyombo vya habari, wakifuatilia kwa umakini mkutano huo 
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Mzee Hassan Nassor Moyo, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini, jimbo la Chaani.
Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano maarufu Eddy Riyami akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini jimbo la Chaani. (Picha na Salmin Said, OMKR)