![]() |
| Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (mbele) akimuongoza mke wa marehemu, Graca Michel (wa pili kulia - nyuma) kuaga mwili wa Mandela. |
![]() |
| Rais Zuma akiaga mwili wa Mandela. |
![]() |
| Mke wa zamani wa Mandela, Winnie Mandela (kushoto) akielekea kuaga mwili wa mume wake wa zamani. |
![]() |
| Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe naye alikuwa miongoni mwa watu waliokwenda kuaga mwili wa Madiba. |
![]() |
| Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbel (kushoto) akiondoka huku akifuta machozi. |
![]() |
| Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbell akilia mbele ya jeneza la mwili wa Mandela. |
![]() |
| Jeneza likiwa limefunikwa bendera ya Afrika Kusini. |
![]() |
| Wananchi wakishuhudia msafara wa mwili wa Mandela mitaani. |


.jpg)





.jpg)
0 Comments