Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Bunge na Katibu wa Bunge mbele ya mojawapo ya magari hayo ya kubebea wagonjwa yaliyonunuliwa na Ofisi ya Bunge. |
Katibu wa Bunge na Spika wakikagua magari hayo. Katikati ni muuguzi mwandamizi kutoka Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Bi. Cecilia Sanya.
(Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge)
|
0 Comments