Wana ndoa bwana Abubakar na mkewe bi Fatma wakiwa na nyuso za furaha kwenye tafrija ya siku ya harusi ya hapo juzi katika mji wa Almere nchini Holland
Sasambu ya nguvu iliyokuwa ikirindima ukumbini toka kwa mshoga wa bi harusi 
 Kina mama waliofika ukumbini kusheherekea tafrija ya harusi ya Fatma

Bwana harusi akipata picha ya pamoja na baadhi ya ndugu na jamaa zake waliofika kwenye tafrija ya harusi yake na mkewe 
 Palikuwa hapatoshi,ni noti kwa kwenda mbele
 Bi harusi akipata kukumbatiwa na kupongezwa na mshoga zake
 Harusi ilipendeza na watu waliofika kwenye harusi pia walipendeza
 Hiki ni kikosi cha kina dada toka United Kingdom {UK} kilikuja na staili ya kipekee kabisa ukumbini hapo,kati ya zawadi walizotoa gari ilikuwa ni moja ya zawadi kubwa kwa bi harusi
 Kutoka kushoto ni MAN,Eddy, Mzee mzima Biboze na mama Tilla
Kwa upande wa kina baba pia kama mnavyowaona  
 Bwana na bi harusi wakipata picha na watu wao wa karibu
 Bi harusi akipata picha na watu wake wa karibu
Kulia kabisa ni Tajiri wa kitongoji cha Almere na ndiye kaka wa bi harusi sio vibaya ukimuita Bilionea Kabila 
 Bidada kwa sura ya tabasamu kwenye harusi ya shosti wake Fatma 
 Bi harusi na watu wake wa karibu wakipata picha ya pamoja
 Sexy mama akirindima na mduara
 Gentlemen katika pozi
 Baba na mama Samantha
 Maharusi wakiwa na watu wao wa karibu
 Eddy kutoka Belgium nae alifika nchini Holland kwenye tafrija ya harusi ya Abou na Fatma
Brother Hasheem akitoa mkono wa pongezi kwa maharusi 
 Mama Tareeq kulia akiwa na shoga yake
Leyla Ngoi kushoto na Triana pia walikuwepo kwenye tafrija ya harusi ya Bi Fatma