Burudani ya muziki ilimfanya kila mmoja ashindwe kuketi na matokeo yake kujumuika na wenzake katika kuselebuka 
 Big Smile from Mr and Mrs Mohamed

 Nice smile from my young Dj Abdul and his fiance
 Wazazi wangu wakipata kipenda tumbo 
 Baadhi ya wageni toka sehemu mbalimbali walihudhuria katika mkesha wa kuuaga mwaka 2013
Mr Eddy akiwa na mkewe Fatma Mashauzi Classic na watoto wao Denzil na Nuhrat katika sherehe za mkesha wa mwaka mpya hapo jana
 Sebene,Ikibinda ikoe na bongoflava zikishika hatamu kila mmoja anachanganyikiwa ukumbini

 Mrs Richard Rasheed akiwa na mkewe mama Karim
 Mzee wangu mzee Mosi akiselebuka na bidada Natacha
 Mama yangu na dada langu,palikuwa hapatoshi
 Mzee wangu mzee Mzungu akisukuma Ngwasuma na dada yangu Azza
 Wageni waalikwa wakipata vinywaji huku wakiendelea kuangalia burudani ya muziki
 Mume halali wa Rahma bwana Ally akitoa ishara ya Amani
Waheshimiwa wakiangalia burudani ya muziki 
 Waheshimiwa wa Mol wakipata kumbukumbu ya picha hapo jana katika mkesha wa mwaka mpya
Mr and Mrs Yusuph wakipata kumbukumbu ya kuuga mwaka mpya hapo jana