Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti za Tume

ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji

Joseph Warioba wakati wa ziara yake ya kutembelea na kuzungumza na Watendaji wa Tume

hiyo aliyoifanya mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Saalam.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba (kulia) akimpokea Waziri wa

Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) wakati alipowasili katika Ofisi za Tume hiyo

kutembelea na kuzungumza na Watendaji wa Ofisi hiyo katika ziara yake aliyoifanya mwishoni

mwa wiki.

(PICHA NA TUME YA KATIBA)