Pichani Maganga One Blogger akitoa mkono wa pongezi kwa maharusi na kuwatakia kila la heri katika maisha yao mapya
 Zawadi kubwa ilibidi vijana watumike kwa kazi ya ziada
 Brother Hija na Salum Kinyume pia walikuwepo katika tafrija ya harusi ya bwana na bibi Abou
 Wageni waalikwa toka kila kona walihudhuria tafrija hiyo
 Shangazi zangu pia walikuwepo
 Mashoga na madada wa bidada Fatma wakifurahia sherehe ya harusi ya shoga yao
Bi harusi akipata kumbukumbu na madada na mashoga zake
Hapa ni Mr and Mrs Abou
Jamani ilikuwa furaha sana
Umati wa kina dada na kina mama ukirindima kwa shangwe 
Aunt Rahma akitunzwa kwa kazi ya ziada aliyoifanya
Kaka wa bi harusi Bilionea Kabila akimwaga manoti kwa dada yake
Bi harusi akifurahia mapesa aliyotunukiwa na kaka yake Bilionea Kabila
Wageni waalikwa wakifurahia mambo yanayoendelea kwenye harusi
Wageni waalikwa wakiwa wametulia kuangalia matukio ya ndani ya tafrija ya harusi ya bidada Fatma na mumewe Abou
Dj ambaye alikonga nyoyo za watu ukumbini akiwa makini kabisa na kazi yake
Bidada Sekky akiwa na uso wa furaha siku hiyo
Madada nao walikuwepo katika kuweka sawa mambo
Brother Hussein Chura pia alikuwepo
Eddy kutoka Ubelgiji akipata picha na dada zake wa kitamboo huko Holland
Kumbukumbu muhimu kwa maharusi kwamba watu walikuja kwa wingi na wanawapenda sana