Moja ya barabara ya historia katika mitaa ya ngombu.z ni hii ya kisiwandui ambayo ni barabara ya asili ya enzi hizo, barabara hii ilikuwa ikitumika kama barabara kuu katika mitaa ya Unguja inaazia eneo ambalo hapo mwazo kulikuwa na kituo cha Askari Zimamoto eneo ilikujengwa maegesho ya magari. bara bara hii inazia darajani hadi miembeni kiplefti wakati huo pakiitwa na kuelekea bomani na kidongochekundu,
Kwa ufahamu wangi mimi sijuwi wewe una kumbukumbu gani juu ya barabara hii..Kwasasa inafanyiwa ukarabati mkubwa wa uwekeja wa lami na itatowa huduma na kupunguza msongamano wa magari katika kituo kipya cha daladala.
|
0 Comments