Aleyekuwa Rais wa mwanzo wa Zambia mkongwe wa siasa Dr.Kenneth Kaunda amelazwa katika Hosptali ya Lusaka Trust Hospital kuanzia Ijumaa wiki ya jana,
Mzee Kaunda haijulikani ugonjwa gani uliokuwa unamsumbua lakini kwa sasa hali yake inaendelea vema mapema pia Rais wa sasa wa nchi Bw.Michael Sata na mkewe Bi.Dr.Christine Kaseba walenda kumjulia hali Mzee Kenneth Kaunda aka KK(pichani kama kawaida na kitambaa cheupe)