Viongozi wa wa Jumuiya ya Watanzania DMV kutoka kushoto ni Katibu Amos Cherehani, Rais Idd Sandaly, Mweka hazina Malasy na makamu wa Rais Raymond Abraham

Sikiliza mazungumuzo ya baadhi ya wanajumuiya wa DMV wakichangia mawazo ya jinsi gani ya kuchangisha pesa ya kusaidia kuandaa washa kwa ajili ya kuelimisha wajumbe na wabunge wa Bunge la katiba kuhusu umuhimu wa swala zima la uraia pacha tafadhali sikiliza mazungumuzo haya na kama unaweza kuchangia tafadhali changia mawazo yako iliyasaidie kuendeleza swala hili na hatimaye kufanikisha pia katika mazungumuzo hayo mwakilishi wa Diaspora Kadari Singo naye alikuwemo kwenye mkutano huu wa simu akiongea toka Dodoma , Tanzania.