Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio.
Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha hivi punde eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha zilizoporwa na majambazi hao.