Mwanamuziki Jhikoman & Afrikabisa Band kuwasha moto International African Festival-Tubinge,GERMANY Mwanamuziki mashuhuri wa reggae barani Afrika Jhikoman & Afrikabisa Band toka kule Bagamoyo,mkoani Pwani,Tanzania,anarajiwa kuwa miongoni mwa wasanii wakubwa watakao litingisha onyesho kubwa la 5 International African Festival-Tubingen litakalo fanyika mjini Tubingen,Ujerumani ya kusini kuanzia 17 Julai mpaka 20 Julai 2014.Mwanamuziki huyo nyota Jhikoman kwa sasa anawashamoto katika majukwaa ya kimataifa huko ughaibuni ameanzia Finlan,na atakuwepo Norway na kwingineko. pata buradani kiduchuhttps://www.youtube.com/watch?v=IFdT_ZrXFD0&featurebooking +358465919130