Habari za leo wapenzi na wasomaji wangu wa Maganga One Blog duniani kote.Leo ni siku maalumu katika kumbukumbu zangu za maisha,siku hii ni Special kwangu na Taifa kwa ujumla,nilizaliwa siku Muungano unavyoundwa na waasi wetu..kwa maana moja au nyingine nimezaliwa siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Tukutane baadae kwa mengineyo."Happy birthday to me''