Maulid ya Mtume wetu Mohammad S.A.W iliyofanyika hapo jana katika jiji la Amsterdam nchini Uholanzi ilishirikisha raia mbalimbali toka Africa na ilifana sana,pichani kina baba wakiburudika kwa dufu...
 Dua zikiendelea kwa upande wa kina baba
 Sadaka kwa watu wote waliofika kwenye maulid...Allah amjaalie kila mmoja aliyefanikisha Sadaka hiyo
 Kina mama wakiwa na nyuso za furaha kwenye Maulid hapo jana

Mash'Allah kina mama walipendeza
 Dufu zikiendelea kwa upande wa kinababa
 Mtu na wife yake,tunamzungumzia Mtage Sekky {kulia}na wifi yake Leyla Ngoi{kushoto}.
 Maandalizi ya maakuli yakiwekwa sawa mezani na dada yetu Somoe{Mrs Said}...Allah Karim awaajalie wote mlioshiriki kwenye Maulid
 Mash'Allah mama Tareeq akiandaa matunda kwa kila mshiriki wa Maulid hapo jana
 Kwa upande wa kina mama wakipata picha hapo jana kwenye Maulid ya Mtume Mohammad s.a.w. jiji Amsterdam
 Jamani raha hapo jana ilikuwa furaha kwa kila mmoja
Baadhi ya kina mama walioshiriki kwenye maulid ya Mtume Mohammad s.a.w hapo jana jijini Amsterdam nchini Uholanzi..