Baadhi ya wanamuziki wa Band ya Skylight wakiwa wanafuatilia kwa umakini utambulisho huo wa wimbo wao mpya wa Kariakoo pamoja na Studio mpya ya kisasa ambayo itatumika kutengenezea nyimbo zao zote.
Baadhi ya wadau pamoja na waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakisikiliza kwa umakini Utambulisho huo wa wimbo mpya wa Skylight Band Kariakoo pamoja na Kutambulisha Studio mpya ya Kurekodia Muziki.
Studio Mpya ya Kisasa ya Skylight Band ambapo watakuwa wakirekodia nyimbo zao.
Muuandaji wa Muziki (Producer) Djobandjo akiwa ndani ya Studio za Skylight Band ambapo alikuwa anajiandaa kuwasikilizisha wadau pamoja na waandishi wa Habari nyimbo mpya ambayo wanaifanya sasa.
Waimbaji wa Skylight Band wakiwa katika studio Maalum ya Kurekodia Muziki ambapo hapa walikuwa wakiimba wimbo wao mpya wa Kariakoo.
Waimbaji wa Skylight Band wakiwa katika studio Maalum ya Kurekodia Muziki ambapo hapa walikuwa wakiimba wimbo wao mpya wa Kariakoo.
Skylight Band wakiwa wanaimba Live wimbo wao mpya wa Kariakoo
Tazama hapa Video ya wimbo wa Kariakoo.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
0 Comments