Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake wa Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure(kulia) alipotebela Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia)akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje.