Abdulrahman a.k.a. MAN{Mfiwa na mama yake mzazi} akitoa mawaidha katika kisoma cha kumuombe mama yake mzazi aliyetangulia mbele ya haki wiki chache zilizopita..alitoa mawaidha mazuri kiasi kwamba kila mmoja aliyehudhuria alitosheka vizuri kwa mawaidha hayo..
Baadhi ya watu waliojumuika katika dua ya kumuombea mama mzazi wa Abdulrahman wakisikiliza kwa makini dua
Mawaidha yakiendelea huku kila mmoja akiwa makini kusikiliza
DUAA ikihitimishwa na Shekh Yusuf
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi mzazi wa kijana mwenzetu aliyetangulia mbele za haki... Kati ya mada zote zilizoongelewa katika mawaidha hizi ni baadhi ya mada zilizoongelewa,binaadamu tuache shirki{ushirikina},Kusema uongo na uchonganishi{tulinde ndimi zetu tunapoongea}Kutowasahau wazazi wetu katika maisha yao ya uzeeni,na suala la kufanya Ibada kwa kila yule anayeamini Uislam na anayeamini kwamba kuna Mungu
0 Comments