Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
Habari zinasema Marehemu
alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwaRemmy, Dar es salaam. 

Kabla ya mauti kumfika, Adam
alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo.