Mpambano wa mpira wa miguu kati ya wakazi wa Mol na Antwerpen nchini Ubelgiji siku ya jumamosi ya tarehe 31/05/2014 umewadia.pambano ambalo limekuwa likisubiriwa kwa hamu na pande zote mbili ili kuonyeshana nani mbabe litachezwa uwanja wa Mol.

Taratibu zote muhimu zimeshakamilika,pambano litaanza saa kumi kamili jioni 4:00pm,wachezaji wote wanaombwa kufika uwanjani saa tisa kamili ili kujali muda.

Nani mbabe wa soka? jibu ni jumamosi hapo uwanjani Mol.
,