Rais  Jakaya Kikwete akimkaribisha Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Kikwete akiongea na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Katibu huyo yupo nchini kwa ziara ya Kikazi kuanzia Mei 14 hadi 18 Mei 2014. 

Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake  Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin, baada ya kumalizika kwa maongezi yao ya kikazi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baaddhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA wakati walipokuwa katika ziara ya kikazi na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin ambaye yupo nchini kuanzia Mei 14 hadi Mei 18 2014.Tanzania ni miongoni mwa nchi 24 za ESAF zilizoko Kusini Mashariki mwa Afrika  na Majukumu yake ni Pamoja na Kuendeleza sere,Maamuzi , Kanuni na Mapendekezo,Mipango ya uendeshaji wa sekta Usafiri wa anga inayoratibiwa na ICAO, Pamoja na kutoa misaada ya Kiufundi.