Balozi wa Tanzania Mh:Wilson Masilingi akitoa hotuba kwa wageni na watanzania waliohudhuria sherehe za Muungano hapo jana nchini Uholanzi.
 Mh:Balozi Masilingi akisalimiana na baadhi ya watanzania waliohudhuria sherehe za Muungano hapo jana
 Watanzania waliohudhuria sherehe za Muungano wakisalimiana na Mh: Balozi Masilingi na mke wa balozi kwenye sherehe za Muungano zilizofanyika jana nchini Uholanzi.
 Sifa ya mtanzania ni uzuri wa sura,tabia,upole na ukarimu ambao kila kona ya dunia tunausambaza...picha inajieleza uzuri wa mtanzania.
 Mh:Balozi akiwa na mkewe wakipiga picha ya pamoja na baahi ya watanzania waliofika katika sherehe za Muungano hapo jana nchini Uholanzi
 Mama Balozi akiwa na baadhi ya watanzania katika picha ya pamoja
 C'vuno Mnyamwezi halisi akiwa na shemeji yetu Lubama katika sherehe za Muungano hapo jana 
Bidada Birunji akiwa na kilemba chenye bendera ya taifa lake la Tanzania huku pembeni akiwa na Mtanzania halisi mwenye mavazi asilia,hii ilikuwa jana katika sherehe za Muungano nchini Uholanzi.