Hii inaonyesha jinsi gani lugha ya  kiswahili inavyopanuka siku hadi siku...Neno hakuna matata linatumika duniani kote hivi sasa.tupendelee kuitangaza lugha yetu kila tunapopata fursa hiyo.