James Rodriguez akishangilia bao lake baada ya kuachia mkwaju mkali ulioiandikia timu yake bao la kwanza.Colombia jana ilionyesha kiwango kikali zaidi dhidi ya Uruguay baada ya kuwachapa goli 2-0