Mshambuliaji machachari wa timu ya taifa ya Marekani Clint Dempsey akikimbia kwa furaha baada ya kufunga goli la kwanza kwa timu yake dhidi ya Ghana hapo jana.Goli hili ambalo limeanza kuweka rekodi kwenye mashindano hayo kwa kufungwa haraka zaidi,goli lilifungwa sekunde ya 32 punde mchezo kuanza.Mpaka mwisho Marekani 2-1Ghana. |
0 Comments