Golikipa mkongwe wa timu ya taifa ya Italia Gianluigi Buffoni akiruka bila mafanikio kuikoa goli lililofungwa na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Costa Rica Bryan Ruiz kwa kichwa.
Umri umechangia kufungwa kwa Italia? jibu NDIYO pichani wachezaji wakongwe wa timu ya taifa ya Italia kushoto ni Andrea Pirlo na golikipa wake Gianluigi Buffoni kwa kiasi kikubwa Italia imepoteza mchezo wake kutokana na wachezaji wake wengi kuwa na umri mkubwa hivyo walikuwa wakichoka kwa haraka uwanjani.(mtazamo tu msinihukumu wasomaji)