Wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria wakishiriki staili ya kusujudu kama mfungaji Mussa alivyofanya baada ya kuifungia timu yake bao safi dhidi ya Argentina..mpaka mwisho wa mchezo Argentina 3-2 Nigeria
Mshambuliaji mahiri wa timu ya taifa ya Argentina  Lioner Messi akishangilia moja ya kati ya magoli yake leo hii na wachezaji wenzake,Argentina yailaza Nigeria  3-2